GODA MC NILIANZA KUJISHUGHULISHA RASMI NA MUZIKI MIAKA YA 2000 MWANZONI NIKIWA NASOMA KATIKA SHULE YA SEKONDARI SHINYANGA ILIYOJULIKANA SANA KWA JINA LA SHYBUSH PAMOJA NA WENZANGU WATATU TULIOUNDA KUNDI LA BEGA CREW AMBAO NI CHIZZO B(ESSAU MSANKA),FASO B(BONIFASI MFUTAKAMBA) NA MTEMI JIRANI(GERVAS NYARINGA),ENZI HIZO AKIFAHAMIKA KAMA AMMYSON,PAMOJA NA KUTOPATA NAFASI YA KUREKODI WIMBO HATA MMOJA TULIJIPATIA UMAARUFU MKUBWA KUTOKANA NA KUHUDHURIA MATAMASHA MBALIMBALI YAKIWEMO YA KIUSHINDANI NA KUIBUKA WASHINDI MARA NYINGI ZAIDI,HUKO SHYBUSH,MWADUI,MAGANZO,PAMOJA NA SHINYANGA MJINI KIUJUMLA,KUNDI LILISAMBARATIKA MIAKA YA 2003-2004 MWISHONI BAADA YA KILA MMOJA KUMALIZA SHULE KWA MUDA WAKE NA KURUDI NYUMBANI,KUANZIA MWAKA 2005 KATIKATI GODA MC NIKIJULIKANA KAMA ANDRE_7,NILIBAHATIKA KUKUTANA NA WANAMUZIKI KAMA MASTA VEPA ALEYEWAHI KUWA KATIKA KUNDI LA JOINT MOBB PAMOJA NA TMK WANAUME FAMILY KWA VIPINDI TOFAUTI NA ALIYEWAHI KUTAMBA NA KIBAO KAMA MTANI JIRANI ALICHOMSHIRIKISHA JUMA NATURE AKIWA NA JOINT MOBB,BAADA YA KUKUTANA NA GODA MC(ANDRE_7 KIPINDI HICHO),CHAT B NA MMASAI TULIAMUA KUANZISHA KIKUNDI CHETU NA KUKIITA TMK WATUKAZI NA NDIPO GODA MC(ANDRE_7) NILIPOPATA NAFASI YA KUANZA KUREKODI KATIKA STUDIO ZA SOUND CRAFTARS AMBAPO TULIFANYA KAZI KADHAA CHINI YA MTAYARISHAJI HENRICO,MARK 2B(R.I.P),PAMOJA NA MKONGWE DREZ CHIEF,BAADHI YA NYIMBO TULIZO FANIKIWA KUZIFANYA KAMA TMK WATUKAZI NI PAMOJA NA:NIACHENI,HUWEZI KUZUIA FT JUMA NATURE&MEGSON MZICH PAMOJA NA SARA FT BANANA ZORO,AMBAZO HAZIKUPATA NAFASI YA KUWIKA,KUNDI HILI TMK WATU KAZI LILISAMBARATIKA MIAKA YA 2007,KUTOKANA NA MAJUKUMU MBALIMBALI YALIYOKUWA YAKIWAKABILI WANAFAMILIA NA GODA MC KURUDI SHULE KUSOMA MASWALA YA IT PAMOJA NA GRAPHIC DESIGN,MWANZONI 2008,NILIKUTANA NA JAMES MSAFIRI(UMBWA),STOPER THE RHYMMECA(WATURUTUMBI), KATIKA STUDIO ZA JAZ REC PAMOJA NA AZ(AZIZI KIPINGU) ALIYEKUWA MMILIKI WA STUDIO ZA JAZ REC CHINI YA PRODUCER Q THE DON PAMOJA NA TUDDY THOMAS KWA VIPINDI TOFAUTI HAPA NIKIWA GRAPHIC DESGNER NA ALIFANIKIWA KUTENGENEZA LOGOS ZA TSHIRT ZA JAZ REC NA LOGO YA TSHIRT YA MOCUMENTARY KWENYE MRADI WA DOCUMENTARY YA JAY-MOE ILIYOKWENDA KWA JINA LA MOCUMENTSRY PAMOJA NA HAYO ALIFANIKIWA KUREKODI NYIMBO MBALIMBALI IKIWEMO USUPASTAR FT LINEX AMBAYO HAIKUFANYA VEMA PIA KWA KIPINDI HICHO BAADA YA JAZ REC KUFUNGWA MIAKA YA 2009-2010,NDIPO GODA_MC NILIPO HAMISHIA MAKAZI YAKE DODOMA RASMI NA HAPO NDIPO NILIPO KUTANA NA LUCAS MALALI(LC),ADAM SELEMANI(ADAM SHULE KONGWE),ANDREA KIMOLO(ANDRE_K R.I.P) PAMOJA NA MIRACLE NOMA AMBAPO TUKAFANIKIWA KUREKODI ALBAM KADHAA IKIWEMO THE ELEMENT VOL 2,MECHANISM,FASIHI SIMULIZI PAMOJA NA DIRA AMBAZO ZOTE ZILIACHIWA,GODA MC KAMA SOLO ARTIST TUFE EP NI MRADI WANGU WA KWANZA NA RASMI KAMA SOLO MC,ASANTE.