BRICS - Brazil, Russia, India, China and Swahili

Damaresi Damaresi · 1 year ago · 147 views
The Big 5 Economy - BRICs - As the world physical shops shrinks, the new market emerges from know where, Africas biggest Tribe The Swahili people who shares swaga, traditions and taboos, are the Africas new online shoppers, they use mobiles and shop like no other.
BRICS - Brazil, Russia, India, China and Swahili
Wakati wauza vitu vidogo vidogo vya kawaida wana piga ma bilioni ya fedha kama kwa Jeff B wa Amazon and soo many small retailers na wapo happy with their lives, plus wateja wao wapo happy with their services and products.

Sija wahi kuona milionea wa diamond au gold and silver kwenye Forbes top 100 millionaires list , na cha ajabu real rich people, hawa nunui au kuvaa ma dini, hizo ni investment wana nunua na kuweka kwenye vaults safe place. Ili kama dola ita panda au kushuka au bank kufilisika wana kitu cha kuuza kurudisha utajiri wao.

Madini sio daily useable product au niseme convenient product ya kuweka kwenye mzunguko wa biashaera unless you know how. Which i know. It is another long class for another time.

Infact madini ni biashara ilio boom baada ya slave trade 300 years ago.

Ni biashara millenia ya 19, ilio thaminiwa milenia ya 20 (bling bling era za 90s) na kupuuziwa milenia ya 21 baada ya TECH kuchukua ulingo wa biashara na huduma, pole kwa Diamond PlatnumZ Tanzanian musician anae vaa blings 2023 wakati watu wali zitupa walipo ingia 2000.

Sawa na alivyo vaa kimasai, kwenye international award ceremony in USA akifananisha na trade show au marketing event, kumbe hakuna investors wala paparazi atakae muona as it is not a business place or fashion show. Poor managers, shit management and stupid strategy. Badala ya kuitangaza nchi daily ana leta shame to the nation, But Swahili land is so big and rich of every thing, mpaka talents, Cheki our Damaresi Music utajua naongelea nini.

Back to East vs Bric and USA, EU and Scandinavia is a roughest market ever, ingawa watu wana waona waropa wajinga au easy people to sell to them any thing, na wapo wengi pia. Lakini sio kama britsh market. Britsh market ni worldwide popote kinapo ongelewa kiingereza au kwa yeyote asie hitaji kutafsiriwa manual au tangazo kwa lunga ingine, so not just 65 millions of UK and England, au English speakers of EU and America, it is Canada, Australia, New Zealand and any other country which put English on their education system au as official language regardless of British colonies, i mean the flag.

So yeah, if a nation or market is not speaking one language, it is a big shit, it is a big mount to climb for business men and women's

The marketing become tougher and harder, different things and just names means horrible and terribly bad thing to other language.

Swag au swaga it is a borrowed name from English in business term ni powerful thing, hata ulete budhaa gani kama sio chakula au kinywaji na dawa, think again soko unalo peleka.

Watu wana trends zao, i always say dunia ina fata british lifestyle, do you know English wana fata lifestyle gani? As British they DON'T even follow English LIFESTYLE they just live their lives, and that is what create or bring the Unique swaga. You don't teach or tell people how to leave, they live life inayo pelekwa na mazingira waliopo. Labda kwa sababu England nchi ndogo lakini ina aina 4 za weather kwa mwaka, na cha ajabu una weza ziona hizo aina nne za weather za dunia in one day any day in England or part of England. Ndio maana wana sema it is a great country but shit weather. In summer kuna mvua na baridi beach maji ni ya baridi, na likiwaka juwa, ni lina waka la ukweli kweli.

Any way, Point yangu kwa soko na ukabila kwenye biashara ni kwamba SWAHILI people wana swaga zao, wana trends zao, bongo (Tanzania capital city) ina waongoza WASWAHILI kwa kiswahili na fasheni, ime ipita congo sasa kwa lengala au bolingo, bongo fleva the Swahili rap ina ongoza kwa mashabiki.

Kwaiyo ni soko kubwa rahisi kuli ingilia na rahisi kuweka kitu kika pendwa na hizi nchi 14 plus, kwanza kwa sababu wana ongea lugha moja au kusikia au kuelewana hata kwa swaga tu na chakula chao kikuu kama ugali na aina tofauti tifauti za makande na mboga za majani au maharagwe, bila kusahau nyama choma na minyama nyama meals.

So yes, EU kuna polulation kubwa lakini hawa ongei lugha moja, kama states za wa marekani na kiingereza. Kila nchi ina lugha zake na swaga zake na miziki yake na media zake. Very hard to sell hawa wezi ku influensiana, nchi moja iki penda sio nyingine ita penda. Ndio kwanza wana tengeneza chao kwa ubora wao na hawa shei.

Kama una fikiria kusaidia jamii na ku solve their problems first, then automatically jamii ita kusapoti na kukusaidia kusolve your problem unayo iface ya kuwa saidia in terms of investment of their time and skills, na hii ndio best investment you need badala au kabla ya hela. And in return to their trust and favour, wata pata huduma na wewe uta pata mtaji kupitia wao kwanjia moja au ingine as they are then in love and will value your product or service na kuwa wengi na wingi wao ndio utakao onyesha investor.  Humo humo kwao wao kwa wao na news zako kufikia hata banks oners na rich investors au not investors just people with some spare cash, wata kujua bila kutumia cost ya matangazo au prototypes as upo na watu ambao certified on their field.

If they can talk about your product/service ni rahisi kusikilizwa kwa wataalamu wenzake na jamii as wana mjua kasomea au expert wa hilo jambo sio kiki au marketing thing tu. Infact your investors are your friends, jamaa na family membaz sio rich busines man huyo ni mfanya biashara. Ata kumeza na kukuua amiliki ulicho anzisha akiweza au umuhimu wako ukiisha, ingawa wanapenda uwe hai, uwafanyie kazi wa rest.

Ndio maana wanasema charity start at home.

Ulio wapa huduma wata kuletea keshi day after day utapata faida na kuongeza bidhaa kwa wingi zaidi na kutatua matatizo ya watu wao, wengi zaidi watajua na habari zako zita fika nje ya mipaka yako, now watu wata kuja kutaka kujua juu ya biashara yako na kutaka kufanya biashara yako. Huu ndio wakati ambao wewe una panga bei, tofauti na mtu anae enda kuomba mkopo wa kibiashara kwa investors anakuta washa panga bei zao, wana kosa mkopo wana kasirika na kuhisi wame onewa kwa sababu kaza wakaza, kumbe noo ni hawaja kizi criteria za mkopeshaji.

Now it is you the boss, wana kuja kwako, una panga bei , na kuchagua atakae kizi criteria zako. Again no extra cost ya marketing wala team management ya huko watokako, ila mpaka wakaja ina maana wanajua soko lao, swaga zako wata zikubali.

Sasa hapo ndipo unapo sema ume protect intellectual property, intellectual property haiprotectiwi kwa kukaa chini ya uvungu, una unda codes, na versions, stages mfano za kurelease na who to tell what and when to say what to who. You try to unlock potential ways to progress, sio kwa kuificha blue print chini ya uvungu. Kwa kuogopa kusearch online, unapo search online au kuipigia kampuni flani simu, huwaambii a to z unavyo anza biashara mpaka faida yake na process zote unazo enda zipitia kufanikisha productions na storages and transportation plus importing and export duties and taxes to numbers of employees and salaries you gonna pay them, price you are going to pay producer per pieces and material you gonna use and why.

All of the above and much more depend on business industry you are in , are what you need before you say you got an idea. Unless otherwise you just got a dream, bad enough it is a day dream inayo kustopisha kufanya mambo ya maana na una poteza muda wako kuifikiria badala ya ku pick up you phone and start typing, looking and asking, by texts and emails no calls unless you got pen and paper au other digital place to write dataz you collect labda kwa hiyo hiyo simu unayo ongelea, on not book au text box.

Bora ya anae ota usiku maana mwili una relax na ana smile na kulala kwa kukoroma na kama ndoto ya biashara ina fanya vibaya ana kulupuka na kusema thanks god, it was just a dream , maana i couldn't cope na hizo haso au hasara na complains za wateja na walio wekeza hela zao wana sumbua kutaka riba zao huku hamna faida hata ya kulipa tu bills kama za wafanyakazi na mjengo n gov tax or ulinzi.

Now you know tofauti ya idea na ndoto au mission and vision, intellectual and business strategy. Na why watu wana weka slogan au motto wa wanacho kifanya, kama Sahihi Price at Swahili Place or Help, support, promote and protect swahili entertainment market.

You need to look to the universe and its contents na kuielewa as ina connection kubwa na our every day activities, then kibiashara ,hata kama unataka kusolve problem ya wasafiri kupitia kuwauzia mabegi tu.

Didi i talk about Brics, noo, hiyo ni power of writing my music album. Waswahili hatu gawanyiki tena, tuna kusanyana kuwa kitu kimoja, na kuwa na heshima haswa kwa walio tutangulia kuanzia Roman emprire to the last one British empire, Tume jifunza mengi sana kwamba kuwa wakubwa sio kitu kizuri, sisemi kubaya, bali una takiwa uwe na strategy ya ku keep small, other things and places or people, hawa itaji life style yako, vyakula au mavazi yako na fasheni zako, kama wamasai na aboriugines wa austarlia na native people wengine wote popote pale duniani, na sisemi makabila mengine tume kosea kufata na kutumia au kuamini tunavyo ishi navyo, bali kila kitu na kila jambo na wakati wake. Anae anzisha Brics ni nani na ana malengo gani, blue print yake aiweke hapa online tujue hakuna monkey business.

Karibuni Damaresi.
Edited No.0120220240 
Ipelekwe kwenye Music blogs. Done same day!!!

#AmaDuwa
#IamDoa
#AmaDuwer
#IamDoWer
#IamTheDoWer

#NeverTheThinker
#IdontThinkiJustDoit
#StopThinkingStartDoing
#DowersLand
#DowersPub

#DowersCity
#DowersNation
#SwahiliDowers
#AfricanDowers
#DamaresiDowers.

To go on my Blog at music.damaresi.com/blogs

Or

DamaresiMusic.com/blogs

I write to inspire.

As i always say ama writer never the editor

And i have got big love to secretaries and receptionists.

Jam FOC
02.01.2023

0 comments
    No comments found

:: / ::
::
/ ::

Queue